Uwanja wa Michezo wa Kawasaki Heavy Industries
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kawasaki Heavy Industries ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2000 kwenye mji wa Kakamigahara, Gifu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,030.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kawasaki Heavy Industries kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |