Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Kashima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Kashima ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Kashima, Ibaraki nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kashima Antlers na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 40,728.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kashima kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.