Uwanja wa Michezo wa Kardinia Park
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kardinia Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Geelong nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 36,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "GMHBA Stadium". Austadiums.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kardinia Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |