Uwanja wa Michezo wa Karatsu
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Karatsu ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Karatsu, Saga nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sagan Tosu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Karatsu kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |