Uwanja wa Michezo wa Kanagawa Prefectural
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kanagawa Prefectural ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1962 kwenye mji wa Fujisawa, Kanagawa nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Esperanza Sports Club na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,200.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kanagawa Prefectural kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |