Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Kakogawa Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Kakogawa Athletics

Uwanja wa Michezo wa Kakogawa Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1998 kwenye mji wa Kakogawa, Hyōgo Kansai nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Cento Cuore Harima FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,275.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kakogawa Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.