Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Kakidomari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Kakidomari

Uwanja wa Michezo wa Kakidomari ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Nagasaki Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya V-Varen Nagasaki na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kakidomari kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.