Uwanja wa michezo wa KaNyamazane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa KaNyamazane hapo awali uliitwa Uwanja wa Lekazi ni uwanja wa michezo wenye shughuli mbalimbali za kimichezo katika mji wa KaNyamazane nchini Afrika Kusini. Upo km 2.5 kutoka Pori la Akiba la Mthethomusha ambapo ni takribani km 25 kutoka Mashariki mwa Nelspruit, katika Mkoa wa Mpumalanga. Uwanja huo ulipata kuboreshwa kwa kiwango kikubwa mnamo mwezi Mei mwaka 2009 hadi mwezi Mei mwaka 2010.

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa KaNyamazane kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.