Uwanja wa Michezo wa Kōriyama Hirose Kaiseizan Athletic
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kōriyama Hirose Kaiseizan Athletic ni uwanja wa michezo huko Kōriyama, Fukushima, Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Kōriyama, Fukushima Tōhoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fukushima FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,474.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kōriyama Hirose Kaiseizan Athletic kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |