Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Jubilee Oval

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Jubilee Oval ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]

  1. "Jubilee Oval". austadiums.com. Austadiums. Iliwekwa mnamo 31 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Jubilee Oval kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.