Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa José Nehin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa José Nehin ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1960 kwenye mji wa San Juan nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sportivo Desamparados na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa José Nehin kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.