Uwanja wa Michezo wa José Amalfitani
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa José Amalfitani ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1951 kwenye mji wa Buenos Aires nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Vélez Sársfield na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 49,540.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa José Amalfitani kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |