Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Japan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Japan National

Uwanja wa Michezo wa Japan ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2019 kwenye mji wa Shinjuku, Tokyo nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya Japani na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 80,016.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Japan kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.