Uwanja wa Michezo wa JIT Recycle Ink
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa JIT Recycle Ink ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1985 kwenye mji wa Kōfu, Yamanashi Chūbu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Ventforet Kofu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa JIT Recycle Ink kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |