Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ishin Me-Life

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Ishin Me-Life

Uwanja wa Michezo wa Ishin Me-Life ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1963 kwenye mji wa Yamaguchi, Yamaguchi Chūgoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Renofa Yamaguchi F.C. na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ishin Me-Life kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.