Uwanja wa Michezo wa IAI Nihondaira
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa IAI Nihondaira ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1991 kwenye mji wa Shizuoka, Shizuoka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Shimizu S-Pulse na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,339.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa IAI Nihondaira kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |