Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Hitachinaka City

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Hitachinaka City

Uwanja wa Michezo wa Hitachinaka City ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1998 kwenye mji wa Hitachinaka, Ibaraki Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Ryutsu Keizai University FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hitachinaka City kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.