Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Hiroshima Koiki Koen Daiichi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Hiroshima Koiki Koen Daiichi

Uwanja wa Michezo wa Hiroshima Koiki Koen Daiichi ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Hiroshima, Hiroshima nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sanfrecce Hiroshima na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hiroshima Koiki Koen Daiichi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.