Uwanja wa Michezo wa Hiroshima General Ground Main
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Hiroshima General Ground Main ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1941 kwenye mji wa Hiroshima Chūgoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sanfrecce Hiroshima na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 13,800.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hiroshima General Ground Main kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |