Uwanja wa Michezo wa Hindmarsh
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Hindmarsh ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Adelaide nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia, timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia , Adelaide United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hindmarsh kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |