Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Hinata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Hinata

Uwanja wa Michezo wa Hinata ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1974 kwenye mji wa Miyazaki, Miyazaki nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Honda Lock SC, Estrela Miyazaki na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hinata kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.