Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Higashihiroshima Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Higashihiroshima Athletics

Uwanja wa Michezo wa Higashihiroshima Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1995 kwenye mji wa Higashihiroshima, Hiroshima nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Angeviolet Hiroshima na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,400.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Higashihiroshima Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.