Uwanja wa Michezo wa Hanazono Rugby
Mandhari

Uwanja wa Michezo wa Hanazono Rugby ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1929 kwenye mji wa Higashiosaka, Osaka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kintetsu Liners, FC Osaka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 27,346.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hanazono Rugby kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |