Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Hamamatsu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Hamamatsu

Uwanja wa Michezo wa Hamamatsu ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1988 kwenye mji wa Hamamatsu, Shizuoka Chūbu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya PJM Futures na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,500.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hamamatsu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.