Uwanja wa Michezo wa Gungahlin Enclosed Oval
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Gungahlin Enclosed Oval ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Gungahlin nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Gungahlin United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.ref>Gaskin, Lee (2014-04-07). "Launch of $12.5 million Gungahlin Oval for four sporting codes". The Canberra Times. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)</ref>
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Gungahlin Enclosed Oval kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |