Uwanja wa Michezo wa Green
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Green ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1980 kwenye mji wa Shibata, Niigata nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Albirex Niigata Ladies na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,800.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Green kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |