Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Gofuku Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Gofuku Athletics

Uwanja wa Michezo wa Gofuku Athletics ni uwanja wa riadha nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1957 kwenye mji wa Toyama, Toyama Chubu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kataller Toyama na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Gofuku Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.