Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Global Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Global Arena

Uwanja wa Michezo wa Global Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2000 kwenye mji wa Munakata, Fukuoka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Munakata Sanix Blues na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Global Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.