Uwanja wa Michezo wa Gigante del Norte
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Gigante del Norte ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Salta nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Gimnasia y Tiro na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 24,300.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Gigante del Norte kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |