Uwanja wa Michezo wa Gigante de Arroyito
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Gigante de Arroyito ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1926 kwenye mji wa Rosario nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Rosario Central na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 41,465.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Gigante de Arroyito kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |