Uwanja wa Michezo wa Fukuyama Tsuun Rose
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Fukuyama Tsuun Rose ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1978 kwenye mji wa Fukuyama, Hiroshima nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fukuyama City FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,081.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Fukuyama Tsuun Rose kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |