Uwanja wa Michezo wa Fujihokuroku Park
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Fujihokuroku Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1985 kwenye mji wa Fujiyoshida, Yamanashi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Ventforet Kofu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 11,105.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Fujihokuroku Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |