Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Fujieda Football

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Fujieda Football

Uwanja wa Michezo wa Fujieda Football ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2002 kwenye mji wa Fujieda, Shizuoka Chubu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fujieda MYFC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 13,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Fujieda Football kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.