Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Florencio Sola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Florencio Sola ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1940 kwenye mji wa Banfield nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya CA Banfield na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 34,900.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Florencio Sola kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.