Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Feliciano Gambarte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Feliciano Gambarte ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1959 kwenye mji wa Mendoza nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Godoy Cruz na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 11,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Feliciano Gambarte kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.