Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Epping

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Epping ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Brunswick Juventus FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]

  1. "Epping Stadium".
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Epping kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.