Uwanja wa Michezo wa El Cilindro
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa El Cilindro ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1950 kwenye mji wa Avellaneda nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Racing na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 55,880.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa El Cilindro kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |