Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ekimae Real Estate

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Ekimae Real Estate

Uwanja wa Michezo wa Ekimae Real Estate ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1996 kwenye mji wa Tosu, Saga nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sagan Tosu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 24,490.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ekimae Real Estate kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.