Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Earth Care Gunma Shikishima Football

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Earth Care Gunma Shikishima Football

Uwanja wa Michezo wa Earth Care Gunma Shikishima Football ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1966 kwenye mji wa Maebashi, Gunma nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Tonan Maebashi Bunnys Gunma FC White Star na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,800.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Earth Care Gunma Shikishima Football kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.