Uwanja wa Michezo wa Docklands
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Docklands ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia, timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 56,347.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "No place like a home BBL final for Renegades". The Age. 31 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 16 Februari 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Docklands kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |