Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Denka Big Swan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Denka Big Swan

Uwanja wa Michezo wa Denka Big Swan ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2001 kwenye mji wa Niigata city, Niigata nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Albirex Niigata na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 42,300.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Denka Big Swan kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.