Uwanja wa Michezo wa Cromer Park
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Cromer Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Manly United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cromer Park". Austadiums. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Cromer Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |