Uwanja wa Michezo wa Coop Miyagi Megumino Football Field B
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Coop Miyagi Megumino Football Field B ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1988 kwenye mji wa Rifu, Miyagi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sony Sendai FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Coop Miyagi Megumino Football Field B kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |