Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Comandante Andrés Guacurarí

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Comandante Andrés Guacurarí ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2003 kwenye mji wa Garupá nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Crucero del Norte na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Comandante Andrés Guacurarí kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.