Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Colonel Lotfi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Colonel Lotfi ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1976 kwenye mji wa Tlemcen nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya WA Tlemcen na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]

  1. "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Colonel Lotfi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.