Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ciudad de Lanús

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Ciudad de Lanús ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1929 kwenye mji wa Lanús nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya CA Lanús na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 47,090.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ciudad de Lanús kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.