Uwanja wa Michezo wa Ciudad de Caseros
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Ciudad de Caseros ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1963 kwenye mji wa Caseros nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Estudiantes (BA) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ciudad de Caseros kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |