Uwanja wa Michezo wa City Football Academy
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa City Football Academy ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Melbourne City FC (A-League Women) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 1,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa City Football Academy kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |