Uwanja wa Michezo wa Cidadela
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Cidadela ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Angola. Ulizinduliwa kwenye mji wa Luanda nchini Angola. Uwanja huu hutumiwa na timu ya ASA, Progresso do Sambizanga na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 40,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stadiums in Angola". World Stadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-13. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Cidadela kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |