Uwanja wa Michezo wa Chatan Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Chatan Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1988 kwenye mji wa Chatan, Okinawa Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Ryukyu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 14,221.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Chatan Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |